Kikokotozi hiki kitasaidia wewe kama mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu, kufahamu na kukumbuka kiasi unachodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu pindi utakapoajiriwa, tumezingatia sheria ya 2016.
Angalizo: Programu hii haikutolewa na HESLB ila ni sehemu ya kuongeza ujuzi wangu mwenyewe na imezingatia sheria ya mikopo ya elimu ya juu ya mwaka 2016.
Baada ya makato ya HESLB kwa mwezi:
Mshahara unaobaki: Tshs/mweziBaada ya makato ya HESLB kwa mwaka:
Mshahara wako utakuwa: Tshs/mwakaDeni la Mwaka unaofuata ni:
Tshs